ha ha ha ha, inafurahisha saaaana, those old days!
Imenikumbusha mbali, nilishawahi kuandika barua kwa totos, baada ya kutopatikana wa kumpelekea,
Mimi mwenyewe nilivizia jioni totos akielekea kisimani na kumkabidhi mwenyewe, ha ha ha ha; kumbe
sikujua ilikuwa wakati mwafaka wa kumwaga sera!!!!! Utoto!