Kabla ya kuwapa upinzani nchi watanzania tujiulize haya

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,swala la kuongoza nchi na kuiletea nchi maendeleo ni swala gumu sana linahitaji chama na kiongozi makini,swala hili linahitaji chama na kiongozi aliyejitoa kupigania ukweli na haki kiongozi mwenye msimamo wa kweli kwenye mambo yenye manufaa na taifa sio kiongozi wa matukio na mwenye kuongelea mambo mengi kihisia ili kutafuta huruma ya wananchi.

Uzuri watanzania wa leo wanajielewa sio wa kuyumbishwa yumbishwa despite wamebaki wachache ambao wapo kama misukule kumradhi lakini kwa kugha hii niliyotumia.Nimetumia lugha hii kumaanisha watu wasio weza kuhoji uhalali wa kitu zaidi ya kupelekwa pelekwa kama misukule.
Cdm wamekuwa kama misukule ya mbowe ambao wanafata kila kitu mbowe anachosema bila kuhoji uhalali wake.Leo wanachama wa cdm wameshindwa kuhoji mambo machache tu ya msingi kama
  • Kwa miaka zaidi ya saba wafuasi na wapenzi wa cdm waliaminishwa kuwa bw mamvi aka rais wa mioyo ya watu kama wanavyompamba leo ni adui mkubwa wa maendeleo ya taifa hili.Nishawahi kunukuu baadhi ya maneno ya kamanda lema akithibitisha umma kuwa anaushahidi wote kuwa lowassa ni fisadi.Tujikumbushe maneno ya Lema kuhusu fisadi Lowassa.Je wafuasi wa chadema mmeshindwa kuhoji juu ya usafi wa edward lowassa?.je mmeshindwa kuuliza kati ya ufisadi wa lowassa na ushahidi kipi ni halali?kama ushahidi si halali je kwa kutokuwa makini huku mnaweza kweli kutawala nchi?.kama ushahidi ni halali je kweli ni sahihi kumpa ikulu mlanguzi?
  • Kwanini watu wote wanaompinga mbowe wanapotezwa? tukianza kwenye kifo chenye utata cha chacha wangwe kuvuliwa unanachama zitto kabwe na kuitwa msaliti pia kufukuzwa kwa juliana shonza.vyote vilitokana na kupinga na kumkosoa mbowe.wanachama wa chadema mnashindwa kudai demokrasia ndani ya chama na uhuru wa kuhoji inasikitisha sana.
  • Kwanini hakuna anaejitokeza kupingana na mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wakati wa uchaguzi mkuu?Mara zote mbowe hupita bila kupingwa je hii inamaanisha ndani ya cdm hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti zaidi ya mbowe?kama ni hivyo je mbowe akifariki ghafla ndo chadema imekufa?
  • Mapato na matumizi ya pesa za ruzuku?kwa miaka zaidi ya ishirini cdm kimeongoza kuwa chama masikini kila siku kinapitisha bakuli licha ya kupokea pesa nyingi ya ruzuku kutoka serikali inasikitisha sana leo chama hakimiliki asset yoyote nembo ya chama inatumika kwa manufaa ya mbowe huku misukule yake inashindwa kuhoji kwanini kwa zaidi ya miaka 25 chama hakina hata jengo la chumba kimoja cha makao makuu?
  • iko wapi agenda ya kupinga rushwa na ufisadi?leo hata humu jamiiforums hakuna tena zile thread zenye muktadha wa kupinga rushwa na ufisadi since misukule ya mbowe ilivyobadilishiwa gia angani.Dr slaa ameondoka na agenda yake leo kadhi kubwa ya cdm kutetea wale waliowaita wezi.mfano mzuri kwa nyalanduLazaro Nyalandu, Miss Tanzania na 40,000 za Ujenzi wa Shule!.leo kawa mwema na ukimgusa utashambuliwa hadi bhasi
Hakika watanzania wanyonge tukijiuliza hayo maswali sioni kama kweli mbowe na watu wake wasio na nguvu ya kuhoji ambao wanapelekwa pelekwa kama wanaweza kweli kuongoza nchi maana naona jinsi rasilimali zetu zitakavyoporwa na walafi na wenye uchu hapa hapa namuongelea dj mbowe na mamvi.Sioni posibility ya cdm kutawala nchii hii nipo teyari kupigana hadi tone la mwisho la damu yangu kuhakikisha walanguzi hawakabithiwi nchi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Hakuna hoja hapa. Kuongoza nchi ni haki ya kila raia wa Tanzania anayekidhi vigezo ambavyo vimewekwa kikatiba na kisheria. Hayo unayofikiria wewe kama ingekuwa hivyo hata tusingeweza kupata uhuru mwaka 1961. Jambo la msingi ni kuendelea kuhakikisha tunachagua viongozi wenye sifa za uongozi na uadilifu na ambao ni efficient and effective kuliko kudhani ni wa chama gani ndio wanaohodhi uongozi wa nchi.
 
Habari wakuu,swala la kuongoza nchi na kuiletea nchi maendeleo ni swala gumu sana linahitaji chama na kiongozi makini,swala hili linahitaji chama na kiongozi aliyejitoa kupigania ukweli na haki kiongozi mwenye msimamo wa kweli kwenye mambo yenye manufaa na taifa sio kiongozi wa matukio na mwenye kuongelea mambo mengi kihisia ili kutafuta huruma ya wananchi.

Uzuri watanzania wa leo wanajielewa sio wa kuyumbishwa yumbishwa despite wamebaki wachache ambao wapo kama misukule kumradhi lakini kwa kugha hii niliyotumia.Nimetumia lugha hii kumaanisha watu wasio weza kuhoji uhalali wa kitu zaidi ya kupelekwa pelekwa kama misukule.
Cdm wamekuwa kama misukule ya mbowe ambao wanafata kila kitu mbowe anachosema bila kuhoji uhalali wake.Leo wanachama wa cdm wameshindwa kuhoji mambo machache tu ya msingi kama
  • Kwa miaka zaidi ya saba wafuasi na wapenzi wa cdm waliaminishwa kuwa bw mamvi aka rais wa mioyo ya watu kama wanavyompamba leo ni adui mkubwa wa maendeleo ya taifa hili.Nishawahi kunukuu baadhi ya maneno ya kamanda lema akithibitisha umma kuwa anaushahidi wote kuwa lowassa ni fisadi.Tujikumbushe maneno ya Lema kuhusu fisadi Lowassa.Je wafuasi wa chadema mmeshindwa kuhoji juu ya usafi wa edward lowassa?.je mmeshindwa kuuliza kati ya ufisadi wa lowassa na ushahidi kipi ni halali?kama ushahidi si halali je kwa kutokuwa makini huku mnaweza kweli kutawala nchi?.kama ushahidi ni halali je kweli ni sahihi kumpa ikulu mlanguzi?
  • Kwanini watu wote wanaompinga mbowe wanapotezwa? tukianza kwenye kifo chenye utata cha chacha wangwe kuvuliwa unanachama zitto kabwe na kuitwa msaliti pia kufukuzwa kwa juliana shonza.vyote vilitokana na kupinga na kumkosoa mbowe.wanachama wa chadema mnashindwa kudai demokrasia ndani ya chama na uhuru wa kuhoji inasikitisha sana.
  • Kwanini hakuna anaejitokeza kupingana na mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wakati wa uchaguzi mkuu?Mara zote mbowe hupita bila kupingwa je hii inamaanisha ndani ya cdm hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti zaidi ya mbowe?kama ni hivyo je mbowe akifariki ghafla ndo chadema imekufa?
  • Mapato na matumizi ya pesa za ruzuku?kwa miaka zaidi ya ishirini cdm kimeongoza kuwa chama masikini kila siku kinapitisha bakuli licha ya kupokea pesa nyingi ya ruzuku kutoka serikali inasikitisha sana leo chama hakimiliki asset yoyote nembo ya chama inatumika kwa manufaa ya mbowe huku misukule yake inashindwa kuhoji kwanini kwa zaidi ya miaka 25 chama hakina hata jengo la chumba kimoja cha makao makuu?
  • iko wapi agenda ya kupinga rushwa na ufisadi?leo hata humu jamiiforums hakuna tena zile thread zenye muktadha wa kupinga rushwa na ufisadi since misukule ya mbowe ilivyobadilishiwa gia angani.Dr slaa ameondoka na agenda yake leo kadhi kubwa ya cdm kutetea wale waliowaita wezi.mfano mzuri kwa nyalanduLazaro Nyalandu, Miss Tanzania na 40,000 za Ujenzi wa Shule!.leo kawa mwema na ukimgusa utashambuliwa hadi bhasi
Hakika watanzania wanyonge tukijiuliza hayo maswali sioni kama kweli mbowe na watu wake wasio na nguvu ya kuhoji ambao wanapelekwa pelekwa kama wanaweza kweli kuongoza nchi maana naona jinsi rasilimali zetu zitakavyoporwa na walafi na wenye uchu hapa hapa namuongelea dj mbowe na mamvi.Sioni posibility ya cdm kutawala nchii hii nipo teyari kupigana hadi tone la mwisho la damu yangu kuhakikisha walanguzi hawakabithiwi nchi kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
sasa kama unakubali tumeporwa mali nyingi, tujiulize pia ni viongozi wapi waliokuwa wanaongoza hii nchi kwa ufupi tupangie wewe kuanzia maraisi mawaziri wa wazara zote tangu uhuru alafu tuone bado kuna aja ya kuendelea na miongoni mwa hao mawaziri? weka vyama kwanza pempeni maana hao mawaziri ndio waliokuwepo wakati tunaibiwa.
 
H

Hii nchi bado ina watu walioathirika na maadui watatu kama huyu wengi sana hii nchi inatakiwa iwe yetu mimi na wewe yaani wananchi na hao CCM / CDM wawe wafanyakazi wetu ona tumewapa ccm tunaisoma namba tulipotea wakati wa mwalimu tunazidi kutokomea kusikojulikana wakati wa jpm,hawatekelezi mpango mkakati kwa ajili ya nchi wanatekeleza ilani ya ccm lini nchi itatekelezewa matakwa yake .Amka nchi hii ni yetu mimi na wewe na sio CCM wala CDM CUF ACT CHAUMMA NCCR n.k. Kusubiri kuwa ccm au cdm wataleta maendeleo unasubiri jiwe lizae.
 
Record zinaonyesha mwaka 2020 upinzani utaongeza wabunge tena ilihali ccm watapungua
 
2020 cdm wakiingiza zaidi ya wabunge 15 najitoa jamiiforums cdm wameshachokwa na wananchi wabunge wao hawana hoja zenye manufaa kwa taifa zaid ya kukashifu jithada za kuleta maendeleo
 
Ni bora Mimi sina chama,chadema sio chama na kamwe hawatokuja kuitawala tz
 
Chama gani kinaongozwa na matukio!Ninaamini endapo Lissu angekuwa ameshambuliwa kipindi cha uchaguzi,basi ajenda pekee kwa cdm ingekuwa ni Lissu tu.
 
Ccm inaongoza nchi wakina chenge,mkapa kikwete ambapo leo magufuli anakimbizana na kanikia yaliyozalishwa na hao wapo huko ccm sijuo unalizumziaje
 
bishana kwa hoja huu ndo upumbavu tunaouongea

Kama watanzania ni wanaccm wanaoona mauaji ya wapinzani ni sahihi basis tuendelee na wauaji hawa ambao wewe ni mmoja Wa jeshi hilo.

Kwa usalama.Wa Taifa letu ni bora kuchagua wapinzani sasa kuliko wakati mwingine wowote vingeninevyo Taifa letu litatawaliwa na Wanyarwanda
 
Kwani wanyarwanda sio watu?
 
Nani akabidhi nchi vibaraka wa wazungu??

Kwani waliowakabidhi hao wazungu raslimali zetu ni wapinzani?? Au ni watawala aka Marais toka Chama Chenu wenyewe??Kwa hiyo vibaraka mnawajua ni akina Chief Mangungo toka Chama Cha Makinikia
 
kati ya mtu aliyekosea akajirekebisha na yule anayetetea uovu nan ni bora? hili swala halihitaji chaki wala ubao linahitaji akili ndogo tu kufikiria
 
Back
Top Bottom