Kabla ya Kuusoma Waraka Askofu Ngalalekumtwa awaimbisha Waumini Wimbo wa Kihehe, Kanisa lalipuka kwa Vigeregere na Shangwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Ni Katika Kanisa Kuu Katoliki Iringa mahali ambapo baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa akilala.awapo ziarani Iringa kwa Chifu Mkwawa

Baba askofu Ngalalekumtwa amewahi kuwa Rais wa TEC na ni miongoni mwa mapadre waliopata Uaskofu wakiwa na Umri mdogo

Iringa pia ndio Dayosisi ya kwanza kutoa Askofu mwenye Umri mdogo wa Kanisa la KKKT wakati wa baba askofu Mdegela

Nitaweka video clip ya baba askofu Ngalalekumtwa

Navalonge swela

Kanisa Moja Takatifu La mitume 😀
 
Bila tupichapicha tutakuita mchochezi,😂
 
Back
Top Bottom