Kabla ya kuoa /kuolewa jua aina za cheating

Kabla ya kuoa /kuolewa jua aina za cheating

Mojawapo ni mawasiliano utaona tofauti na siku za mwanzoni alipowasili, usijeshangaa ukiwa unamtafuta kwa njia ya simu hapatikani kwa wakati na visababu vinakuwa vingi
 
Muwekkee ile kitu inaitwa gusa unate....halafu usiwe na hofu we uwe unafuatilia magazeti ya shigongo tu ukisikia kuna watu wamegandana ukiwa huko huko mbali uta-confirm sura yake kupitia magazeti ya udaku....Ila kama humwamin partner wako ni hatari sana ....Pressure is just arround the corner
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom