Mto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe π tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Hahah hahah yenye horse power kidogo sana. Dawa hapa kila mke na trekta lake na ardhi yake, hawa watu ukiwaweka pamoja hawakawii kukuloga ufe ili wakose wote
Fungua biblia yako kuanzia mwanzo mpka ufunuo hamna sehem biblia imekataza kuoa bebez wengi ...Mimi Nina wawili kwa Sasa bado watatu nimalize mwendo salama.
Hivi uamuzi wa kikristu kuoa mke mmoja ulitolewa na nani? Hawakuwatendea wanawake haki. Ukiangalia kwa makini, ni unafiki wa hali ya juu mwanaume kusema anatosheka na mke mmoja.