Kabla sijaamua kuishi naye niambieni ukweli kuhusu tabia ya huyu binti

Mnawezaje mahusiano ya hivi yaani mtu hakutafuti we ndo ubakuwa kama jogoo cheeee
Njoo kwa wanaokutafuta tukutafute PM zipo wazi achana na huyo kisabengo hana mpango na wewe anakuvutia kasi tu akupige chini sikusio nyingi 🤪
 
Hii ngumu kumeza mkuu. Tabia zake haziko promotional, zinavuruga.

Nitaongelea viashiria na possibilities zake ila sio kuseam oa au acha

Kuwa na mtu na kuachwa sio tatizo, hata wewe umewahi kuacha na kuachwa.

Kutokukutafuta, wanawake wengi wenye tabia hizi huwa wana plan B, so anatega kotekote na pia huwa kuna ule upande aupendao so ndipo huspend muda mungu na kuusahau upande mmoja. Siku kule pakibuma mazima utamuona amekuja kwako full na siku patick kule hupoteza mazima.

Kuhusu kutoomba pesa, ni vitu vidogo vido hivyo anaweza asiombe na akawa anakuvutia pumzi tu and vice versa.

Kubwa ninaloliona ni hilo la mawasiliano tu, ndio kama lina ukakasi.

Ushauri wangu. Mchunguze mwenyewe ujiridhishe pasi shaka kuwa ni wewe tu
Mkuu huyu kaniwekea vikwazo vya kimawasiliano upande wa mitandaoni na mazungumzo ya ana kwa ana na hataki ongea anajikuta ni silent girl kwahiyo ni ngumu mno kumchunguza.
 
Kanaweza kuwa kana degree ya maigizo. Nenda mdomdo mkuu. Mimi mwaka jana niliacha mahari yangu kwa binti mmoja, mwenye maigizo ya kikondoo kondoo. Nikaona bora nusu shari kuliko kuvunja ndoa au mateso lifetime. Nikawaacha wale mahari yangu.
 
Huenda ukawa sahihi ila kuwaelewa hawa watu ni ngumu mno tuishi nao kwa akili.

Never beg for attention, fight kuonesha nia yako ya kumhitaji kama mwanaume lakini isiwe too much mpaka ukaonekana dhaifu.
Ahahaha kweli.
Kuna kipindi tuliingia kwa mgogoro na wife akasema na cheat ikawa ni manenoo muda mrefu siku baafa ya siku.

One day katika kulalamika na kuona hata simjibu kitu akaniambia "kwahiyo na mimi unataka nikafanywe huko nje si ndio?"

Hata sikumtazama usoni niko busy na simu yangu kitandani, nikamwambia "yah ukiona unahitaji nenda tu kwa raha zako, kwani si unatomb*wa wewe au mimi??, nenda zako huko wapelekee usinichoshe na ujinga wako ukafikir naona kama ni kitu speeesho!!". Ugomvi ukawa mkubwaa 😂😂😂😂.. "kwahiyo wewe hujali ndio maana yake hunipendi si ndio".. manenoo kibao ila ndio ikawa siku ya mwisho kwa ujinga wake huo
 
Kwa tabia hizo anaweza kua Hana uhakika kama kwel unampenda hivo anakaa Kwa tahadhali (hataki kukuzoea sana)ili ukisepa asipate shida ku move on,kingine yaweza kua shughuli zake zinamtyt Cha kukushauri huo huo mda mchache anaokupa msuprise vitu vitakavyoacha kumbukumbu kwake
 
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi.

Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu mniambie anafaa au hafai.

ALISHA WAHI KUA NA WAPENZI WA WILI WOTE WAKAMUACHA BILA SABABU , MWANZO WAKATI PENZI BADO BICHI SANA ALISHAWAHI KUNIJIBU KAMA NITAKUA NA MZUIA MAMBO YAKE BORA NIMPOTEZEE TUACHANE MAPEMA

TABIA ZAKE

1: Hajawahi kuniomba hela kabisa na hata nikimpa ananiambia ananifilisi ni tunze hizo hela zitatusaidia baadae

2: Hanipi kipaumbele kabisa kwenye mawasiliano na yeye yupo kwenye ule upande wa nakupenda pia, anaweza pitisha hata mwezi bila kunitafuta kabisa kama mimi nitaamua kupiga kimnya

3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu

4: Haoni shida kunipa utamu na yupo teyari, kuishi na kuzaa na mimi

5: Aliwahi nambia ana wivu sana hivyo nikimuoa lazima anichunge na hata nikifanya jambo la mashaka hato lala mpaka ni mpe majibu ya kueleweka

6: Nikiwa nae ana kwa ana anaonyesha kunipenda, kanionyesha kwao na wala hawazi chochote , tatizo nikisha kua nae mbali ananipotezea na wakati mwingine naona kama ananipuuza vile.

7: hapendi kabisa kuongea ni mkimnya mno , yani kumuongelesha ni kama natafuta ugomvi na yeye.

Asanteni
Pole mie wangu simtafuti kama hajanitafuta, na hiyo i love you huwa naisikia mda wa kumgegeda tu tofauti na hapo ni kila mtu na mishe zake.
 
Kwa tabia hizo anaweza kua Hana uhakika kama kwel unampenda hivo anakaa Kwa tahadhali (hataki kukuzoea sana)ili ukisepa asipate shida ku move on,kingine yaweza kua shughuli zake zinamtyt Cha kukushauri huo huo mda mchache anaokupa msuprise vitu vitakavyoacha kumbukumbu kwake
Mtu anaekupenda hutenga mda kwa ajili yako na sio kusubiri awe free ndio akutafute.
 
Ahahaha kweli.
Kuna kipindi tuliingia kwa mgogoro na wife akasema na cheat ikawa ni manenoo muda mrefu siku baafa ya siku.

One day katika kulalamika na kuona hata simjibu kitu akaniambia "kwahiyo na mimi unataka nikafanywe huko nje si ndio?"

Hata sikumtazama usoni niko busy na simu yangu kitandani, nikamwambia "yah ukiona unahitaji nenda tu kwa raha zako, kwani si unatomb*wa wewe au mimi??, nenda zako huko wapelekee usinichoshe na ujinga wako ukafikir naona kama ni kitu speeesho!!". Ugomvi ukawa mkubwaa 😂😂😂😂.. "kwahiyo wewe hujali ndio maana yake hunipendi si ndio".. manenoo kibao ila ndio ikawa siku ya mwisho kwa ujinga wake huo
Wanawake ukiwazingatia sana unaharibu
 
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi.

Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu mniambie anafaa au hafai.

ALISHA WAHI KUA NA WAPENZI WA WILI WOTE WAKAMUACHA BILA SABABU , MWANZO WAKATI PENZI BADO BICHI SANA ALISHAWAHI KUNIJIBU KAMA NITAKUA NA MZUIA MAMBO YAKE BORA NIMPOTEZEE TUACHANE MAPEMA

TABIA ZAKE

1: Hajawahi kuniomba hela kabisa na hata nikimpa ananiambia ananifilisi ni tunze hizo hela zitatusaidia baadae

2: Hanipi kipaumbele kabisa kwenye mawasiliano na yeye yupo kwenye ule upande wa nakupenda pia, anaweza pitisha hata mwezi bila kunitafuta kabisa kama mimi nitaamua kupiga kimnya

3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu

4: Haoni shida kunipa utamu na yupo teyari, kuishi na kuzaa na mimi

5: Aliwahi nambia ana wivu sana hivyo nikimuoa lazima anichunge na hata nikifanya jambo la mashaka hato lala mpaka ni mpe majibu ya kueleweka

6: Nikiwa nae ana kwa ana anaonyesha kunipenda, kanionyesha kwao na wala hawazi chochote , tatizo nikisha kua nae mbali ananipotezea na wakati mwingine naona kama ananipuuza vile.

7: hapendi kabisa kuongea ni mkimnya mno , yani kumuongelesha ni kama natafuta ugomvi na yeye.

Asanteni
Kama umemla huyoo sio mlokolee
 
Sawa mkuu, mm siwezi shindana mzidi mwanaume ambaye alikua nae awali cz sijui alikua anampa nini.. kwa hizi comment itoshe kusema acha ni ghairi kabisa huu mchakato wa kumuweka ndani
kijana acha kusikia maneno ya watu Kaa chini binafsi omba mungu alafu fanya uchunguzi binafsi pia jipe mda utajua ila bro kuwa makini mlokolee awezi kukupa mzigoo yawezekana ni muuni tu...
 
Walokole sahihi hawagawi kabla ya kutoa mahari. Kila dhehebu wapo. Wao msamiati wao ni kuishi maisha matakatifu.
Mh? Eti kila dhehebu wapo? Sio kweli! Mlokole wa kweli hafungamani na dini. Kama wapo ni kwenye dini zinazokili wokovu tu na humo wako makini sana na mafundisho na mkizingua wanakuwa wanakuja kwa "KIASI" saana! Wanaweza kuishi bila kutegemea dini!
 
Back
Top Bottom