Meli ikieegeha isigonge moja kwa moja ukuta.Swali la kizushi!
Hivi hayo matairi hapo bandarini hua yana kazi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,lakini mbona kama ni mbinu isiyo rasmi? maana hua sio matairi mapya,kwanini wasiweke mfano rubber ngumu ambayo ikabandikwa hapo kwny ukuta km kazi yake ni muhimu hivyo,maana ukisoma hapo ni kampuni ilipewa tenda ya kukarabati kwanini waweke matairi kuukuu? Au na bandari zingine duniani no hivyo!?