Kabla hajajichoma

Kabla hajajichoma

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
Yule kijana aliyejiwasha moto kule tunisia alikusanya vitu vyake vyote ,akandika waraka kisha akajitoa muhanga .ameleta mapinduzi ya kweli katika ukanda wa ghuba ,huenda baadaye ikafika hata huku kwetu hatujui?
 
Attachments

  • 28slde8[1].jpg
    28slde8[1].jpg
    31 KB · Views: 316
ikifika kwetu itakua poaa cuz bado hatuja jitambua hasa hawa viongozi wetu!
 
Yule kijana aliyejiwasha moto kule tunisia alikusanya vitu vyake vyote ,akandika waraka kisha akajitoa muhanga .ameleta mapinduzi ya kweli katika ukanda wa ghuba ,huenda baadaye ikafika hata huku kwetu hatujui?
Vipi una mpango wa kujitia kiberiti kuleta ukombozi ?
 
Jamani wandugu, imeshatokea juzi tabata binti mdogo ana mtoto mdogo, nadhani kamzalia nyumbani (Nje ya Ndoa), kamchukua binti yake kambeba kwa Khanga mbele ya kifua, kajimwagia mafuta ya taa, kajiwasha moto waliungua vibaya, japo wasamaria mwema waliwahi kumzima, walipomuuliza akawaambia maisha ni Magumu heri afe!! nadhani waandishi hawakuipata wamfuatilie kama hayuke amana hospital atakuwa Muhimbili, nadhani kwa sasa ni Police Case... fuatilieni... things are coming our way now!! NAWASILISHA!!
 
Ukijiwasha bongo ngoma inazimwa kimya kimya tu...jaribu uone...
 
Yule kijana aliyejiwasha moto kule tunisia alikusanya vitu vyake vyote ,akandika waraka kisha akajitoa muhanga .ameleta mapinduzi ya kweli katika ukanda wa ghuba ,huenda baadaye ikafika hata huku kwetu hatujui?

Achana nae!, majini tu hayo. Huwezi kujitoa mhanga mpaka upagaishwe, ndiyo maana wanaandaliwa na mashehe kwa kusomewa maneno kutoka kwenye kitabu kitukufu ili majini yawatawale. Majini yakishatawala basi binadamu anakuwa ni umbile tu lakini kiroho ni jini na yuko tayari kujiwasha/kujilipua. Wasomi wa nchi zilizoendelea kwa vile hawaamini mambo ya majini, basi wanasema eti mashehe wana wa brainwash... LOL!!1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom