Kabla editing haijafanyika mwilini mwake

Alikuw mzuri not sasa hivi

Bado mijitusi anayotoa mdomoni mwake km ndo mkeo yule unaweza zimia. Diamondi nilishindwa kimwelewa kwa yule demu tu. Anapiga jeki maziwa hadi matako! Bora vdem vya uswahilin kwetu vinavutia sio yule bna
 
Hii picha nimeitoa Facebook kiukweli huyu msanii amekaa kiutamu zaidi kuliko huyo wa kichina
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1419928655.010395.jpg
    48.9 KB · Views: 164
Mtamu mno kaka yangu anaomba akutane na huyu dada halafu mimi sijui jinsi ya kumpata msaada wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…