Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Mtoa mada ukapimwe una utindio wa ubongo.!
 
huyu binti pamoja na mama yake ni washamba sana na ni aibu kwa ukoo wao wote. wajui walizaliwa mchana au jioni? hawana aibu na akili vichani.
 
Haka katoto brow wang mmoja kakigonga....nahis kama tutampoteza hiv..πŸ™‚πŸ™‚

Aisee, Haka kadada labda wanakasingizia tu, kuna mwenye ushuhuda wowote na K Omba?
Kama Hamna mwenye uhakika ni bora aachwe apumzike jamani.!!
 
Mnhhhh jamani muacheni mtoto wa watu apumzike bana watu mnachonga as if nyie ni wasafiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…