Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Nmetoka kukaburuza jana kwa hyo mnanambiaje wakuu.??
 
Duh!!!

Huyu binti nadhani anajuta kuwa maarufu, namna anavyoandamwa na raia ni shiiidaaah!!!
 
Haka katoto brow wang mmoja kakigonga....nahis kama tutampoteza hiv..🙂🙂

hawezi kufa kwasababu kapita tu na hajajenga kibanda kama hao waliokwisha resti ini pisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…