Kabila na Dini kwenye CV!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabila na Dini kwenye CV!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vivian, Nov 4, 2009.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wakuu! Hivi karibuni umezuka Mjadala kuhusu kuandika kabila na Dini kwenye CV.

  Kwa upeo wngu mdogo naona vyombo vya habari visikomalie saaana hi ''ishu'' coz kama wanataka ifanye kazi basi na majina tuyaondoe. just look

  JINA KABILA
  1.MASSAWE... ?
  2.MWAKITALIMA.... ?
  3.BYARUGABA..... ?
  4.Onyango.... ?
  5.....

  The list goes...........
   
 2. G

  Gashle Senior Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Si bora hata kwenye CV, hakuna kitu kinaniboa kama Afande kakushika na kosa la bara barani, katika kutafuta umhonge anajifanya kuandika "notification" uchwara, mara unasikia, jina? kabila? kazi? to me kuniuliza kabila katika kosa la kutokuwa na fire extinguisher ni uhuni mkubwa!
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Vipi Vivian leo bosi amekukalia vizuri nini? hehehehe

  Nikirudi kwneye topic..hakuna sababu ya kuwa na kabila au dini kwenye CV ili kuondoa uwezekano wa ubaguzi wa kidini au kikabila
   
Loading...