kila nilichoandika hapa sio ukweli asilimia mia moja
ni popular opinion tu.
wapo watu tofauti na jinsi makabila yao yalivyo.
we mhaya sio?
mi mi ni mnyamwezi
na wanyamwezi wamegawanyika...
wapo ambao ni kama wasukuma..
na wapo wale wa mjini wapo kama wazaramo...
hahaaaaaaa duh!!
umeiona ya wakikuyu???lol...
Kuna kabila linaitwa wanyiha naombeni sifa zao
wapare ni ubahili na roho ndogo ya kimasikini.
na ushirikina pia.
wazaramo....mdomo mwingi na uvivu...
wadigo......ngono tu..na ushirikina..
wahaya.....umalaya.....na masifa masifa...
wachaga...wizi,na kutafuta pesa..
wahehe....utiifu,na kazi za ndani....
wasambaa...kulima sana,na ucheshi
wamakonde...ngoma,na kazi za ulinzi
wamasai...wana maadili,na kazi za ulinzi..
wagogo....kuomba omba tu
waha...ubishi na kijifanya wanajua..
wakwere....uvivu na starehe
wanyamwezi.....ujuaji nao kama wazaramo.
wafipa ....uchawi nakulima sana.
wanyakyusa...kulima sana na kujisikia sana.
Halafu mkienda dukani mnasema naomba shati lile la laki moja.hamuulizi hata bei.Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
Halafu mkienda dukani mnasema naomba shati lile la laki moja.hamuulizi hata bei.
Wabondei na wazigua je?
humu JF wasukuma wengi sana.vyako vyangu vyangu vyako
Watu wa kabila langu ni wapole, wenye heshima, wanamapenzi ya kweli kwa wake zao, hodari wa kazi, ni wafugaji, wakulima, wavuvi,wachimba madini, ni wafanyabiashara, ni kabila lenye watu wengi kuliko kabila lolote hapa nchini, tunataniwa na kila mtu, ni washamba, tunakandamiza maneno, tunapenda wanawake weupe, sisi ni warefu, wapana na wenye nguvu.
je watu wa kabila lako wana sifa gani?
Mmesahau Wajaluo, Wasukuma, Wahaya na makabila mengi ya Lake Victoria hasa Wajaluo hawatahiri yaani magovindaNaomba niulize, hii thread ina purpose gani hasa?
hehehe kumbe na wewe ni mtu!chu! bhebhe namhala, goshi uliwamukaya ghete nanho? natogwa sana wamayu.