Kabila gani huoa wanawake wengi?

Kabila gani huoa wanawake wengi?

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Habari zenu ndugu zangu. Hivi ni kabila gani hapa Tanzania linaloongoza kwa kuoa wanawake wengi?
 
Habari zenu ndugu zangu. Hivi ni kabila gani hapa Tanzania linaloongoza kwa kuoa wanawake wengi?

lile kabila la katerero,hapana, wakina thea avae,hapana, wachaga,hapana, lile kabila la MKULU.?ndioooooooo....
 
kila kabila mtu ana owa anavyo taka nwenyew,pasipo funga ndoa ila wakifunga mim najua mmoja kwa kristo na zaid ya 2,3 kwa waislam,ninavyo jua mm
 
Wajaluo wanaoa wengi sana Mfano AKUKU DANGER alioa wanawake 40 huko KENYA na mwingine ni REUBEN OLIECH wa huko SHIRATI -RORYA alioa wanawake 22. Hawa watu walikuwa hawajui hata watoto wao. Halafu unakuta watoto wao hawasomi kama huyo REUBEN hakuna mtoto hata mmoja mwenye elimu zaidi ya darasa la saba.
 
akina katerero.....namaanisha kula papuchu ni kuoa kisheria
 
Back
Top Bottom