hawa wote si wanatoka mkoa mmoja? mkipata rais kutoka hizi sehemu mjue nchi inauzwaJamaa watatu mabakhili sana, wakaelezana waondokane na tabia hii mbaya.
Mdosi: "mimi tachora duara, tarusha pesa juu, takazoingi dani ni za maskini
takazo toka nje ni za kwangu bana".
Mpare: "mimi avae nitapiga mstari, nitarusha pesa juu, zitakazo kaa ktk mstari za maskini nje ya
mstari za kwangu".
Mchaga: " mimi babaangu nitarusha juu tu, zikibaki juu wachukue maskini zitakazokuja chini hizo ni
zangu tu".
hawa wote si wanatoka mkoa mmoja? Mkipata rais kutoka hizi sehemu mjue nchi inauzwa
Inavyoonekana ww ni mkabila kweli.hawa wote si wanatoka mkoa mmoja? mkipata rais kutoka hizi sehemu mjue nchi inauzwa
kweli mkuu tena roba ya mbao mpango mzima.Dawa yao kuwaibia tu hamna kingine