Kabati linauzwa

Kabati linauzwa

Maprosoh

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
48
Reaction score
44
Kabati linauzwa ni lakuchonga milango mi3, lina hali nzuri. Lipo Kijitonyama Dsm bei ni 350k. Dm kwa maelewano zaidi.
IMG_20180520_120743.jpg
IMG_20180520_115706.jpg
 
Elfu ishirini sina kula elfu kumi boss
 
Kafungua duka akaondoka...jioni utamsikia "biashara ngumu..vyuma vimekaza"
 
INA onekana tandale hiyo sakavu Na ukuta unaonekana kuliwa Na fungus watu wanatoka mbali jerry
Umejuaje mkuu ni mita chache toka kwa Mtogole. Ila uzuri wake ndinga inafika hadi mlangoni na inaweza kugeuza pia. Karbu tufanye biashara
 
Nakujua huko nilisha kaa kijitonyama pale magolofa ya benki
Umejuaje mkuu ni mita chache toka kwa Mtogole. Ila uzuri wake ndinga inafika hadi mlangoni na inaweza kugeuza pia. Karbu tufanye biashara
 
Back
Top Bottom