UFAFANUZ.
Tukio la kubakwa ccta nimetokea december 2012 na majibu ya ccta kuwa +ve yametoka wiki mbil baada ya tukio.kuhusu kuhumizwa vibaya ktk viungo vya uzaz madactar wameshamtibu tatizo lilobak ameshindwa kurudisha fahamu yan alipolazwa ndo hapohapo.hili ndo naomba mnishaur coz hatamadactar wamekosa ufumbuz kwa vipimo vyote walivyo mfananyia.
Mazingira ya kubakwa ni kuwa kwenye gar walikuwa wanaume watatu akiwemo huyo family friend pamoja na ccta.na alibakwa na mmoja wa hao wanaume kwenye gar.hatujui alitisha na nn mpaka hakusema