ukondamoyo
Member
- Jul 29, 2015
- 40
- 26
Mheshimiwa Raisi ameamua kugeukia upande wa dini ili kuendelea kukonga mioyo ya wananchi baada ya kuona wananchi kukata tamaa na tumbuatumbua ambayo wananchi waliamini ingekua mkombozi wa maisha lakini imekua kinyume chake .Lakini ningependa kushauli upande huu wa dini ni hatari sana kwa mstakabali wa amani yetu kwani imani ya dini hua ni atari iwapo dini fulani ikihisi haikutendewa haki.Niafadhali tukabaki na imani yetu kwamba serikali haina dini.Kuliko kutumia dini kukua kisiasa