Najua mko busy sana kwa shughuli but Kuna binamu yangu mmoja kahitimu University Mwaka juzi Baada ya kuwa amepata kazi, sasa hutaki kabisa story za wanawake pia tangu asome hana legacy yeyote hata kwa marafiki kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote, kwa sasa yupo vizuri anapokea mshahara wa laki 9 anamwaga radhi baa akitoka job, hatakagi story na mademu, wamemkalia hadi kikao cha ukoo Jamaa kagoma, wamemuuliza jogoo hawaki? Anasema hataki kujua
Anadai ataishi single mpaka mauti sasa sijui anatatizo gani naombeni ushauri wenu wa kitheolojia.
Sent using
Jamii Forums mobile app