Kaa vizuri ikuingie hii

Kaa vizuri ikuingie hii

Yaani uache starehe zako na raha kisa papuch na Dushe, khaa kweli dunia ni kama tufe, Wengine ngono, pombe wengine disco na magari, Ila papuchi nyingi sana tatizo pesa labda za kununua za kichina au kihispania
Endekeza pombe mali yako iliwe
 
Unataka kusema kwamba mtu akioa nguvu zinapungua?
Simaanishi nguvu zinapungua bali majukukumu yanaongezeka! Hakuna haja ya kukomaa kupiga mabao matatu kwa mkeo ulale SAA 9 usiku wakati SAA 11 unatakiwa ujiandae kwenda kusaka chapaa! Piga kimoja cha afya cha walau DK 30 baaasi.. Asiposhiba basi akafanye anayotaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nikipiga safari ndio nakua nyoko, sema nini wadada ndio huwa wanajisahau sana, mambo usafi mambo kunukia ndio mpango sio nakuja na stim zangu za pombe afu unanuka kwapa, shit....natapika kabisa
 
mkuu me sipendi kabisa mwanamke ahangaike kitandani nachotaka mimi ni anitengee kile nachotaka nikifanyie kazi vizuri na ndio maana napenda wanene maana wanakua na ka uvivu flani ivi sio wembamba fujo nyingi mwishowe ateguke kiuno bure.
 
Mi bado sijaona mwenye mbinu zenye kumfanya mwanamme/mwanamke wasichepuke,mi nipo kando naangalia tu wanandoa wanavyochapiwa,natamani ningeweza fata ushauri wa mwana FA kuukata tu mgongo ili asishindaniwe tofauti na hapo kwa Dunia hii...kuchapiwa na kuchapa hakuepukiki...
 
Back
Top Bottom