Kaa vizuri ikuingie hii

Kaa vizuri ikuingie hii

Umelenga wale wanaume/wanawake wanao ishi maisha ya kuigiza ili waingie kwenye ndoa.

Siku zone maigizo yana mwisho na hulka ya mtu inaanza kujionyesha.

Kwanini tusikubaliane /tusipendane na mapungufu yetu hadi kwenye ndoa?

Turidhike na kuvumiliana na madhaifu yetu na wenzetu . Tukiweza tusaidiane kuyarekebisha madhaifu yetu na sio kwenda nje ya ndoa kukidhi mapungufu ya mwenza wako.
 
Sasa kama mimi nagonga kwingine kwanin na kwangu(mke) wasibonyeze mana mke wapekee yako kashakufaga
Watu kama nyinyi mnaojifanya hamjali, ndio huwa mnajazana kwenye wodi za wagonjwa wa BP.. Well well
 
Nilicho gundua ukiona mwanamke anakatika saaaana ujue hujamsugua vizuri; ukimsugua vizuri hiyo kitu ya kukatika hua IPO auto tu, nyie vijana mnaibiwa sana, njooni kwa wahenga tuwafundishe.
 
Umelenga wale wanaume/wanawake wanao ishi maisha ya kuigiza ili waingie kwenye ndoa.

Siku zone maigizo yana mwisho na hulka ya mtu inaanza kujionyesha.

Kwanini tusikubaliane /tusipendane na mapungufu yetu hadi kwenye ndoa?

Turidhike na kuvumiliana na madhaifu yetu na wenzetu . Tukiweza tusaidiane kuyarekebisha madhaifu yetu na sio kwenda nje ya ndoa kukidhi mapungufu ya mwenza wako.
Umeongea vizuri sana.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Asikudanganye MTU utamu Wa shoo ushirikiano,na ikiwa mmoja ndo anajituma kila Leo alafu mwanaume mzima unapewa maandalizi ya bashasha ukija kupiga shoo ukipamp tako Mara tatu tu ushapiz uko hoi analala,my friend unataka mwenzio nani akamkune vizuri? Uanaume sio tu kutoa matumizi heshima chumbani iwepo

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika uone vimada vitakavyo chukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha wanapewa wanaojituma..

Na upande wetu Wanaume endeleeni kunywa bia, huyo mwanamke nataka shughuli, ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya,
tunaojua kusimamia kucha tukimkamata tunaliammsha dudu mwanzo mwisho, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma kama Beberu...Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia
OVA


Dogo kwa mara ya kwanza leo umeua na umeliamsha dude....yaani umegusa pale panapo stahili. Big up ila achana na hizo swaga zako za Kimarekani.
 
Dogo kwa mara ya kwanza leo umeua na umeliamsha dude....yaani umegusa pale panapo stahili. Big up ila achana na hizo swaga zako za Kimarekani.
Hahaha swaga za kimarekani ndio zipi?
 
Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika uone vimada vitakavyo chukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha wanapewa wanaojituma..

Na upande wetu Wanaume endeleeni kunywa bia, huyo mwanamke nataka shughuli, ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya,
tunaojua kusimamia kucha tukimkamata tunaliammsha dudu mwanzo mwisho, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma kama Beberu...Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia
OVA


Dah STUNTER niifikiri unashikisha mtu ukuta ama ncha ya kitanda.....maneno gani haya ya kutuambia mkuu?
 
Muwaonee huruma wake zenu viuno feni ni enzi hizo hana hata mtoto sasa hivi umeshsmzalisha watt wawili watatu kiuno kimeachia mgongo umekaza majukumu ya nyumbani kedekede na mengi ni ya kupinda mgongo huo mzunguko wa feni anaanzia wapi kuuzungusha? Msi demand mnoo bila kuangalia reasons why hafanyi hivyo basi hata hicho kdg anachokufanyia ridhikal.

Utatamani viuno feni huko nje ambavyo havina majukimu havijazaa kiweke ndani kizae watt wawili watatu na yy anageuka kinikia. Cha msingi tujaliane wote tuache tamaa.
 
Back
Top Bottom