Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #41
Vp mbona mjini kimenuka umekacha na makago
me, na wewe tena .... haya sitokupitia tena kwenda kule mahali... si unakumbuka siku ile?
ah ah ah! Sungura Toto ulimpata shemeji? maana leo naona umerudi kwa furaha sana, tofauti na siku ile ulikuja unalilia lia hadi uluma... mtoto wa kiume unatakiwa uwe imara banaaaaa .........
Wp bana mm yule ni mshkaji wangu wala hanaga story za huku ila aliponipigia story ikaniumaa ndo nikaileta huku ila nasikia jamaa kashindwa kuishi na kicheche na navyojua kimekula kuku wote jamaa kaanza ufugaji upya!

hahahaaaaaaaaaaa!!
kama kaanza ufugaji upya c atulie
wewe anakutuma ya nn,maneno ya wakosaji hayo
teh teh teheeeeee!!kuachwa kunamuuma lolz!!
t
Pole sana ndugu! hata mimi kwa maelezo mafupi ambayo nimeyasoma kutoka kwako inaonekana jamaa kaumia..
Ila ndio maisha yatupasa kusamehe na kusonga mbele pasipo kuangalia mapungufu na madhaifu ya hawa ndugu zetu...
Jamaa yako mshauli awe mvumilivu, asichukue maamuzi ambayo badae anaweza yajutia....
Pamoja sana mkuu Sungura Toto
Manoah nashukuru kwa PM yako lkn kila kitu c kina utaratibu best maaana sheria hazipo kwa kutetea ujinga au siyo!
ni kweli mkuu, ila hakuna marefu yasiyo na ncha, ataja kumbuka kwa aliyo fanya..
Ijumaa ndio nitakuwepo town, sasa ivi nakimbizana kidogo huku chaka na binadamu mkuu!Bata unakulia wp mkuu??