Ka Lugumi kamewashinda Mtaweza Li Richmond?

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Ndugu Watanzania Swala la Lugumi mmelishindwa, Swala la Bashite mmeshindwa, Ben saa8 hatuko naye, Dr. Ulmboka hana kucha wa meno, yote haya yamewashinda Mtaweza Richmond?
Ni mawazo tu..........
 
Chadema inajipanga kurudisha Bungeni Mjadala na Maazimio waliyounga Mkono kwa kauli Moja 2007
 
Lugumi hagusiki!! Na hivi ni Ngosha ndio kabisa!!! Untouchable kama Bi Bashite
 
Back
Top Bottom