K24 TV very good

K24 TV very good

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
nimetazama juzi hii channel iko vizuri
kuna local play inaitwa Isabela i like it
na vipindi vya kilimo cha kisasa
very good channel.....
 
nimetazama juzi hii channel iko vizuri
kuna local play inaitwa Isabela i like it
na vipindi vya kilimo cha kisasa
very good channel.....
Lakini survey inaonyesha ina watazamaji asilimia 3tu huku Kenya. Citizen tv, NTV na KTN ndo zinapendwa sana huku...
 
K24 naipenda sana.Mie nipo Tz lakini hupenda kutazama k24 saa moja.
 
Back
Top Bottom