K/MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI NI JEMBE

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,742
6,433
KAMA CV NDO UTENDAJI BASI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IMEPATA JEMBE..HUYU SI MWINGINE BALI NI;
1.JAJI---KABOBEA SHERIA
2.MEJA GENERAL--MJESHI HATAKI MCHEZO WA POLISI NA UHAMIAII
3.WAKILI---ANAUZOEFU PIA WAKUENDESHA KESI.

UKIUNGANISHA ANAITWA; JAJI MEJA GENERAL WAKILI PROJECT RWEGASIRA

HAPA SASA POLISI HAWATAKUWA WANADANGANYA NA KUMTISHA KATIBU MKUU KWANI NDO YUKO JUU YAO KILA NYANJA. HAPA HATA WALIOKULA HERA NDANI YA POLISI LAZIMA WACHUNGUZWE
 
Achunguze idara zote za wizara akianza na Magereza polisi uhamiaji na zimamoto kuna uharoo
 
uhamiaji ni jipu kubwa ambalo anatakiwa alitumbue mapema.
kuna wachina na wahindi kibao wanafungiwa kwenye magodauni huku wakilindwa na uhamiaji.
hawa watu wanafanya kazi ambazo hata watanzania wanaweza kuzifanya.
ni lazima sheria za uhamiaji ziheshimike.
huwezi toa kibali kwa mhamiaji anakuja kuuza yebo yebo kwa reja reja au mahindi kariakoo.
mchina anakuja kuuza maua sido mbeya.
aafu tunaambiwa ni mwekezaji.
 
Hilo ni Jipu kubwa na ndilo litakuwa kipimo pakee juu ya utendaji wake.
 
Uhamiaji wengi wamekaa sana kituo kimoja mfano wengi wapo Dsm hawajawahi kuhamishwa sasa wapelekwe huko mipakani waletwe wapya kabsa .
 
Khaa title zote izo akikamua PHD itaongezeka na ya Dr.
All the best anza na traffic wala rushwa na wale uhamiaji ambao hula hela za vibari vya kazi kwa kuvinadi
 
Ka-Kova kamekimbiza makengeza utafikri Mourinho anakimbia Chelsea! Kameona mziki wa Mjeda hakatauweza!
 
Back
Top Bottom