Kwenye Gazeti la Dira ya Mtanzania la leo kuna taarifa kuwa makamanda wa JWTZ wamempiga mkwara mzito 'Kapteni' Lowassa kwa ile kauli yake ya wiki iliyopita kwamba JWTZ ipo tayari kuingia vitani na Malawi iliyoambatana na kutoa taarifa za utayari wa jeshi letu kwa vita hiyo. Kwa mujibu wa makamanda hao,mtu mwenye mamlaka ya kutoa kauli kama hiyo ni Rais pekee.
udakuKwenye Gazeti la Dira ya Mtanzania
tangia lini?'Kapteni' Lowassa
kwamba wanaogopa au?kwa kauli yake kuwa JWTZ ipo tayari kuingia vitani na Malawi
wala hana taarifa ya kuingiliwa,yuko bize anazunguka duniani,mtu mwenye mamlaka ya kutoa kauli kama hiyo ni Rais pekee.
Safi sana. I like this!
tungoje mvua ya MABOM toka Thailand hapo inatkiwa tenda ya kununua Mgwanda na RISASI hazitoshi TANZANIA _AKILI TUPU piganeni watu wapate ulaji