JWTZ yafundisha askari toka Kenya, Rwanda, na Uganda

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,957
56,134
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.

..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.

habari nzima soma hapa: Home

habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission

cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe
 
Last edited by a moderator:
Zilikua ni chokochoko za mdomotu na si vitendo, mwana ume hatishi kwa kuropoka matusi mdomoni halafu kujaribu anashindwa chezea mtu anaekuzid power utajibelegezua lakini kimya
 
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.

..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.

habari nzima soma hapa: Home

habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission

cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe

coat.gif
LOGO09.jpg
logonew.jpg
KENYA GOVERNMENT
The course size and composition has increased steadily over the years to include participants from not only African countries but also from Asia and Europe. Looking back, statistics indicate now a total of 403 Officers have graduated from the college to-date. These includes a total of 123 Kenya Defence Forces Officers, 162 Kenyan Senior Civil Servants and118 foreign Military Officers and Civilians. The following countries have contributed to NDC Alumni ; United Republic of Tanzanian, Uganda, South African, Zambia, Rwanda, Ethiopia, Botswana, Sri-Lanka, German, Egypt, Nigeria, Zimbabwe, Malawi, Burundi, Namibia, Sudan, South Sudan.
 
ndio nini sasa
 
Last edited by a moderator:
Kumbe sisi ndo twawafundisha. Basi ndo maana hawaleti chokochoko
 
Haijaanza leo mkuu,hadi Marekani tumewafundisha hapo(najua kuna watu watabisha).
 
Kumbe sisi ndo twawafundisha. Basi ndo maana hawaleti chokochoko

The course size and composition has increased steadily over the years to include participants from not only African countries but also from Asia and Europe. Looking back, statistics indicate now a total of 403 Officers have graduated from the college to-date. These includes a total of 123 Kenya Defence Forces Officers, 162 Kenyan Senior Civil Servants and118 foreign Military Officers and Civilians. The following countries have contributed to NDC Alumni ; United Republic of Tanzanian, Uganda, South African, Zambia, Rwanda, Ethiopia, Botswana, Sri-Lanka, German, Egypt, Nigeria, Zimbabwe, Malawi, Burundi, Namibia, Sudan, South Sudan.

cse%2015grp%20photo.JPG
Faculty Members
Commandant:
Lt Gen J N Waweru
D/Commandant- Mil:
Maj Gen B Y Haji
D/Commandant- Civ:
Amb Ogego
SDS Army:
Brig Okwaro
SDS Air:
Brig A K Mulata
SDS Navy:
Brig Wainaina
College Secretary:
Col Kivunzi
College Co-odinator:
Lt Col J Murrey
JDS Army
LT Col Teimuge

JDS Air
LT Col j Maiyo
JDS Navy
Lt Col J S Ndegwa
JDS Civil
Mr Sang
Participants
NAMESVC/MIN/DEPTCOUNTRY
MR GEDION O AMALLA
BRIG CHRISTOPHER JOSEPH O ARRUM
MRS GRACE CERERE
BRIG KENNETH O DINDI
COL RASHID A ELMI
COL PHUMZILE FONGOQA
BRIG GEN JOHN GACINYA
COL NGUGI GIKONYO
MR MATHENGE GITONGA
CAPT TAIYE ABDUL IMAM
COL SOLOMON UMBA KALELI
BRIG SAMUEL KAVUMA
COL MARTIN AMOS KEMWAGA
MR IBRAHIM KHAMIS
MS GLADYS KINYUAH
MRS SARGUTA LEBISHOY KITUR
COL MOSES KAGISO LEKOKO
BRIG AARON ROBERT LUKYAA
MAJ (RTD) OMAR M MARSA
COL AYUB GUANTAI MATIIRI
COL G W MBITHI
COL PATRICK LUMUMBA MIJONI
COL EDMOND MITI
MR MOHAMED BARRE MUHUMED
COL EVERISTE MURENZI
COL KASILI MUTAMBO
MR CHARLES MUTHUSI
COL JOSUA N NAMHINDO
BRIG GEN CHOL BIAR NGANG
MR ROBERT MUTEGI NJUE
COL BENSON MUTHUI NZILU
COL INNOCENT G OULA
BRIG GEN GATWECH YIECH RUOM
COL GABRIEL SABUSHIMIKE
COL ALOYS SINDAYIHEBURA
COL CHISICHENYU SINGIZI
STAFF BRIG TAWFIK AHMED TAWFIK
MR JAMES KIMUTAI TOO
MR SAMUEL MNDAVIKI WACHENJE
COL GEORGE ODHIAMBO WALWA
MS CATHERINE WAMBANI WEKESA
KENYA POLICE SERVICE
KENYA ARMY
MFA KENYA
KENYA ARMY
KENYA AIRFORCE
SA NATIONAL DEFENCE FORCE
RWANDA DEFENCE FORCES
KENYA ARMY
KENYA FOREST SERVICE
NIGERIAN NAVY
KENYA AIRFORCE
UGANDA PEOPLE DEFENCE FORCES
TANZANIA PEOPLE DEFENCE FORCE
MFA KENYA
MIN OF EAC KENYA
NSIS KENYA
BOTSWANA ARMY
TANZANIA PEOPLE DEFENCE FORCE
NSIS KENYA
KENYA ARMY
KENYA NAVY
MALAWI ARMY
ZAMBIA ARMY
OFFICE OF THE PRESIDENT
RWANDA DEFENCE FORCES
KENYA ARMY
KENYA POLICE SERVICE
NAMIBIA DEFENCE FORCE
SOUTH SUDAN ARMY
KENYA WILDLIFE SERVICE
KENYA AIRFORCE
UGANDA PEOPLE DEFENCE FORCES
SOUTH SUDAN ARMY
BURUNDI DEFENCE FORCE
BURUNDI DEFENCE FORCE
ZIMBABWE DEFENCE FORCES
EGYPTIAN ARMY
KENYA PRISON SERVICE
NATIONAL YOUTH SERVICE KENYA
KENYA ARMY
KENYA WILDLIFE SERVICE 
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.

..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.

habari nzima soma hapa: Home

habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission

cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe

Ni jambo njema kwa Watanzania kuwafunza wanajeshi tokea nchi jirani, ila umeanzisha mada kwa kutumia uwongo maana hamna sehemu imeelezea kwamba Kenya ilifunzwa na JWTZ. Ninachojua ni kwamba JWTZ wamepata darasa Kenya mara kadhaa.
 
kumbe ilikuwa mwanafunzi anatishia kumpiga master:becky:
Haa!najua sio habari nzuri kwako hata kidogo, manake hupendi kabisa uhusiano uwe mzuri;
Ila hii nikawaida sana hata askali wa Tanzania wanakuja huku kwa mafunzo mbalimbali, chuki zilizopo ni sababu ya watu binafsi, ila some of you mntaka kuonyesha kwamba ni uhasama wa nchi na nchi na kujaribu ku incite wa Tanzania yet nyie ni waNyaRwanda tu mliokimbilia huko;
ENGLISH – UMUSEKE – Rwanda Defense Forces Command and Staff College/Intake Two Launched
 
Lakini haya ni mambo ya kawaida mbona.

Kwa mfano, wapo Waingereza waliosomea West Point na wapo Wamarekani waliosomea Sandhurst.
Kitu kinachoongelewa pia ni mambo ya kawaida...mfano naeza kuja somea kiingereza TZ ingawa Kenya pia kinafunzwa
 
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.

..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.

habari nzima soma hapa: Home

habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission

cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe

So What? Mbona Ni Kawaida Mno Kijeshi? Mbona Na Wewe Askari Wako Huenda Mji Wa Gitarama Nchini Rwanda Kwa Mafunzo?
 
Military exchange ni kitu cha kawaida hapa Tz National Defence College imeanza rasmi mwaka jana before that tumewah peleka maafisa kadhaa NDC Kenya kwa course fupi... si jambo la ajabu
 
mbona mleta uzi aliona kitu cha ajabu kuuleta eti JWTZ itawafunza majirani basi!
 
Ukiona Alumni yeyote ta tanzania iko katika nchi ya kigeni, basi ujue kuna mission za udukuzi za ki-intel zinafanyaka.. tanzania has nothing to learn from anycountry in the field ya militarism.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom