Yani naona hawa makamanda wamechelewa tena kama serikali itakaidi naomba huyo BRIGEDIA JEN ajitangaze kuwa rais mara moja ana sapoti yetu wananchi na ya MUNGU.
kama huwa unafika singida nenda mwenyewe kajionee aqua hotel ipo pale njia panda ya kwenda tia chuoni mkabala na oilcom. Nilikuwa jana usiku hapo natukio nilakweli.