Mkuu vitu vingine ni aibu kuendelea kubishana.sitakuwekea kila kitu nataka wewe usugue kichwa kidogo sana.sasa nenda kwenye youtube ,alafu andika kwenye search ingine yake pale neno sky dive without parachute.alafu wewe mwenyewe naomba urudi hapa na useme ni kweli kwa wadau.hivi vitu ni kama ku have fun ,kwa wenzetu nje huku.