JWTZ special forces - askari wa miamvuli

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
 

Attachments

  • mwanajeshi 2.jpg
    49.1 KB · Views: 2,292
  • mwanajeshi .jpg
    54.8 KB · Views: 2,279
  • mwanajeshi 3.jpg
    44.2 KB · Views: 2,269
  • Mwanajeshi 4.jpg
    30.3 KB · Views: 2,256
Jana hiyo kwenye maandalizi ya sherehe za muungano zitakazofanyika kesho.... hao ni wapambanaji wetu jana walikuwa wanaruka kutoka umbali wa feet 4000 wakitokea kwenye ndege ya jeshi. wana uwezo wa kuruka umbali kuzidi huo kufuatana na hali ya hewa.

Nimewashuhudia kwa macho yangu wakitokea kwenye mawingu.

Wengine walikuwa wanachora neno Tanzania 50 angani.
 
hahaha naona ile dhihaka ya kuvunja motofali kwa kichwa tunayo endelea kuwafanyia hapa jf inawaingia barabara.angalau kidogo awamu hii watatushawishi.kudos JWTZ.
BTW hivi hao nao ni military commandos?
 
Basi hapa kwetu ndo wamefanya njia za ndege za kijeshi kwa ajili ya siku ya muungano , kero tupu
 
Wanatuletea mambo ya mwaka 47, wajaribu kuwa wabunifu.
 
hahaha naona ile dhihaka ya kuvunja motofali kwa kichwa tunayo endelea kuwafanyia hapa jf inawaingia barabara.angalau kidogo awamu hii watatushawishi.kudos JWTZ.
BTW hivi hao nao ni military commandos?

naam hao ndio wenyewe.huvaa kofia zenye rangi damu ya mzee ipo tofauti na na zile za MP.
 
Ilipendeza sana japo yalikuwa maandalizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…