JWTZ ni kwamba mnafanya maigizo ama?

JWTZ ni kwamba mnafanya maigizo ama?

Ndio tatizo la waafrika! Mkishikwa pabaya mnaanza kuuliza maswali off topic!? Ukienda Depo ni wapi wanapozungumza kuhusu utii wa chama!? Ndio maana nikakwambia ni Jeshi la Wananchi sio Jeshi la Mwenyenchi
we naoana umekariri reform ila hujaelewa ni reform ya nini janja kazi ni kipimo cha utu nenda lugalo na bendera ya chama uje kutupa mrejesho
 
Tangu wanajeshi wetu wapigwe Congo na mmoja mwenye cheo cha juu kupekuliwa kama mwizi akiwa na uniform kwenye mpaka wa Rwanda sina hamu kabisa.
 
Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija.

Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana wakitumia muda katika nyimbo za hamasa, gwaride, na mazoezi ya heshima.
=============
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupitia Brigedi ya Faru, limehitimisha zoezi la medani Pima Uwezo 2025 lililofanyika mkoani Shinyanga.

Akimwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, katika kilele cha kuhitimisha zoezi hilo, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu, Meja Jenerali Fadhili Nondo, amewataka maafisa na askari kuwa tayari nyakati zote kulinda mipaka ya nchi kwa njia ya ardhi, anga na maji dhidi ya uvamizi wa adui.

"Mazoezi ni sehemu ya kutufanya wanajeshi tuwe tayari nyakati zote katika kutekeleza majukumu ya ulinzi wa taifa. Hivyo, wakati wa amani tunapaswa kuvuja jasho jingi ili wakati wa vita tutekeleze majukumu yetu kwa ufanisi mkubwa," amesema Meja Jenerali Nondo.

Aidha, amesema mazoezi hayo yataendelea kufanyika kwa nyakati na maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa na askari wa JWTZ.

Kwa upande wake, Kamanda wa Brigedi ya Faru, Brigedia Jenerali Gabriel Kwiligwa, amesema zoezi hilo limefanyika kwa siku 12 likiwa na lengo la kupima utayari wa vikundi katika kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo ugaidi, uvamizi kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na kuzuia uhamiaji haramu.

Zoezi la medani Pima Uwezo 2025, lenye kaulimbiu isemayo “Pima Uwezo, Kaa Tayari Tuilinde Tanzania”, pia limeshirikisha askari wa Jeshi la Akiba (Mgambo)

Habari hiyo sio mpya; ni ya muda. Labda uweke wazi ajenda yako, nin hasa unataka wasomaji wakione.
 
Wanajiandaa kwa ajili ya vita au kuteka na kuua wapinzani kuelekea uchaguzi
 
Ikitokea world war III nchi nyingi za Africa zitatawaliwa Tena(colonized) hatuna uwezi,na sehemu kubwa ya hiyo vita itapiganiwa ktk bara la Africa(sehemu nyepesi kujenga military bases),they will be forced to choose the side na kua chini ya wakubwa
 
Jeshi liko bizę kumshangilia Abdul na kundi lake la ugaidi kuliibia taifa na kufanya umafia
 
Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija.

Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana wakitumia muda katika nyimbo za hamasa, gwaride, na mazoezi ya heshima.
=============
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupitia Brigedi ya Faru, limehitimisha zoezi la medani Pima Uwezo 2025 lililofanyika mkoani Shinyanga.

Akimwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, katika kilele cha kuhitimisha zoezi hilo, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu, Meja Jenerali Fadhili Nondo, amewataka maafisa na askari kuwa tayari nyakati zote kulinda mipaka ya nchi kwa njia ya ardhi, anga na maji dhidi ya uvamizi wa adui.

"Mazoezi ni sehemu ya kutufanya wanajeshi tuwe tayari nyakati zote katika kutekeleza majukumu ya ulinzi wa taifa. Hivyo, wakati wa amani tunapaswa kuvuja jasho jingi ili wakati wa vita tutekeleze majukumu yetu kwa ufanisi mkubwa," amesema Meja Jenerali Nondo.

Aidha, amesema mazoezi hayo yataendelea kufanyika kwa nyakati na maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa na askari wa JWTZ.

Kwa upande wake, Kamanda wa Brigedi ya Faru, Brigedia Jenerali Gabriel Kwiligwa, amesema zoezi hilo limefanyika kwa siku 12 likiwa na lengo la kupima utayari wa vikundi katika kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo ugaidi, uvamizi kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na kuzuia uhamiaji haramu.

Zoezi la medani Pima Uwezo 2025, lenye kaulimbiu isemayo “Pima Uwezo, Kaa Tayari Tuilinde Tanzania”, pia limeshirikisha askari wa Jeshi la Akiba (Mgambo)

Kama ni mazoez mbona askari wengi Wana vitambi?
 
Wanategemea msaada kutoka china na india.
Wenzetu kenya hapo haku a siku hawapo kwenye mazoezi iwe ndege iwe chopa lil siku lazma wapae na kutua
 
Wakitumia pesa kununua vifaa vya kijeshi vya kisasa mtalalamika jeshi linatumia pesa nyingi sana wakati hatuna vita na kuna matatizo mengine mengi sana yanayohitaji pesa hizo.
 
we naoana umekariri reform ila hujaelewa ni reform ya nini janja kazi ni kipimo cha utu nenda lugalo na bendera ya chama uje kutupa mrejesho
Ndio kuna utii wa chama!?
 
Back
Top Bottom