JWTZ nako kunahitajika reforms

Hakika..!
Na huo ndio Ukweli mchungu.
 
Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.
Mbona lilimpigia kampeni amiri jeshi? Au wao wali stick kwa amiri jeshi tu na siyo kiongozi wa wengine? Hivi ile helicopter ya jeshi ilikuwa inaendeshwa na pilot raia,? Na alipewa tu maelekezo na afisa mtendaji wa kijiji? Think twice.
 
Usitegemee jeshi lijiingize kwenye mambo ya uchaguzi, jeshi kazi yake ni ulinzi.

Mtoa mada amesema jeshi lilitoa ndege kwa ccm, je zile ndege zilikuwa kwa ajili ya ulinzi?
 
Badala wafanye uvumbuzi kama wa Ukraine anavyopiga nyambizi za Urusi. wao wanashiriki kuua raia, leo wamepewa
 
nonsense
 
Mwajuma nchokonoe wa Mwananyamala na Mwajabu toto kunyakunya wa Kwa Mtogole ukiwaweka hapo na Samia Minyonyo wa Mchamba wima hiyo timu Samia ndiyo ataonekana hajitambui.
 
JWTZ sasa rasmi ni machawa wamepoteza imani kubwa kwa Watanzania. Sasa wamejiunga na Polisi, Mahakama na Bunge na wananchi wa Tanzania wamebakia kupigana wenyewe na kwa nguvu ya Mungu tutafanikiwa
 
Pambaneni kama mkifauli tutasherehekea pamoja kama mkifeli huzuni kwenu
 
Jamii forum imekuwa ya kiduanzi sana yaani mtu akijiskia kuandika utumbo anaandika kuu sijui hata siku hizi kama kuna mods!
 
Baada ya kuwashindwa polisi na TISS sasa mmehamia kwa wajeda.
Kila mtu ni mbaya kwenu
 
D25 tuwasalimie pale Lugalo na Gongo la Mboto. Kwa kuwa sasa tunajua ya kwamba risasi ziko Zanzibar, wao wanamiliki bunduki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…