MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Vijijini umemchagua, Mchungaji Gaston Ndaga Mwanjale, kuwania ubunge katika Jimbo la Mbeya Vijijini, lililoachwa wazi na Marehemu Richard Nyaulawa aliyefariki dunia.....Akizungumzia matokeo hayo, Mboma, aliyeibuka wa pili, alisema yeye ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1981 na amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za chama.Alisema yuko tayari kutoa ushirikiano wa kumnadi mgombea aliyepitishwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya chama hicho...
Mod,unaweza kuiweka hii mahala inapofaa.
Nimeshtushwa na taarifa katika habari ifuatayo kwamba Jenerali Robert Mbona alikuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 1981.Labda sielewi vizuri kuhusu sheria inayowakataza watendaji wa vyombo vya dola kujihusisha na siasa (apart from kupiga kura) lakini nadhani hii haijakaa vizuri.Hebu soma extract hii hapa,then tujadili zaidi
Sasa kama Mboma alikuwa mwanachama wa CCM wakati akiwa Mkuu wa Majeshi,hii haikuathiri utandaji wake wa kazi kwa namna moja au nyingine?Au ali-suspend uanachama wake katika kipindi cha utumishi wake then aka-renew baada ya kustaafu?Ikumbukwe hapa tunjamzungumzia kiongozi wa juu kabisa wa jeshi letu.
Halafu vyama vya upinzani vinapolalamika kuhusu matumizi mabaya ya vyombo vya dola kwa manufaa ya CCM vinaambiwa havina hoja za msingi.Pengine hii ni wake up call kwa vile kuna uwezekano kwamba hata akina Mwema et al nao ni wana-CCM.
As I mentioned earlier,sina ufafanuzi mzuri wa kisheria kuhusiana na ishu hii.

Nitachangia vizuri hapa nikitulia, una point nzito kabisa.
Mod,unaweza kuiweka hii mahala inapofaa.
Nimeshtushwa na taarifa katika habari ifuatayo kwamba Jenerali Robert Mbona alikuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 1981.Labda sielewi vizuri kuhusu sheria inayowakataza watendaji wa vyombo vya dola kujihusisha na ........QUOTE]
Tusiwe wepesi kusahau siasa ya Tanzania imetoka wapi na ni wapi tulipo sasa hivi.
Kama alivyosema Balantanda hapo juu, utumishi wa mfanyakazi yeyote ulipimwa kwa uaminifu kwa chama wakati huo wa chama kimoja.
Hapakuwahi kuwapo kiongozi yeyote iwe kwenye serikali,majeshi au mashirika asiyekuwa mwanachama wa Tanu baadaye CCM.
Hata viongozi karibu wooote wa vyama vya upinzani walikuwa wanachama wa CCM.Kwa hiyo Gen Mboma kuwa mwanachama wa CCM si jambo la kushangaza.

kwani alipokuwa CDF amewahi kuonesha dalili zozote za kuipendelea CCM?????
- Labda swali hapa halijaeleweka, how would you determine this mkuu kwamba huenda alikua anapendelea CCM?
- Kwa mfano aliajiri vijana wa CCM tu or what?
Ningeshauri kuwa ili makamanda na majaji wasiwe na upendeleo kwa chama chochote cha siasa, kuwe na time interval ya wao kutoshiriki siasa za aina yoyote baada ya kustaafu; tena hapa kwetu iwe interval ndefu kidogo ili madaraka yao ya zamani yasahauliwe kwanza ndipo waanze sisas. Hii itasaidia kuwazuia kutumia madaraka yao kwa ajili kujijenga kisasa wakaribiapo kustaafu.
Baada ya kuanza kwa siasa za vyama vingi, shughuli za siasa zilipigwa marufuku kwenye majeshi yetu. Chini ya utaratibu huo, wanajeshi pamoja na polisi wote wanatakiwa wasiwe wanachama wa chama chochote hata kama walikuwa wanachama wa CCM zamani. Akina Marando walikuwa CCM damudamu wakati huo lakni baadaye wakaachana nayo, vivyo hivyo ndivyo ilivyotakiwa kwa wanajeshi wote.
Hata kama Mboma hakuwa active kwenye siasa, lakini inaelekea kuwa alikuwa sympathizer mkubwa sana wa CCM. Jambo baya ni kuwa kwa vile alikuwa shabiki wa CCM, kwa vyovyote hakuwa impartial katika maaumzi yanayohusu CCM na vyama vingine vya upinzani. kama angetaikiwa kutuma batalion moja kwenda kuwafunza adabu mashabiki wa upinzai huenda asingesita. Kuna mifano ya kutosha kuonyesha kuwa vmakamanda wanaoishabikia CCM wamekuwa wanatumia madaraka yao vibaya dhidi ya upinzani: Mahita ni mfano mzuri sana aliyetamka hadharani kabisa kuwa anaivunjavunja CUF.
Ningeshauri kuwa ili makamanda na majaji wasiwe na upendeleo kwa chama chochote cha siasa, kuwe na time interval ya wao kutoshiriki siasa za aina yoyote baada ya kustaafu; tena hapa kwetu iwe interval ndefu kidogo ili madaraka yao ya zamani yasahauliwe kwanza ndipo waanze sisas. Hii itasaidia kuwazuia kutumia madaraka yao kwa ajili kujijenga kisasa wakaribiapo kustaafu.
Wacha kamba zako za Tarime...Wooooooooooote kabisa ni wana CCM kasoro OCD wa Tarime ambaye hata Makamba aliona kwamba jamaa ni mtumishi wa Umma na si mtumishi wa CCM.
Ingefaa kuwa na utaratibu wa kukoma kwa benefits wanazopata hawa wastaafu wa vyombo vya usalama iwapo watajihusisha na siasa, wanapokua wamestaafu.
Achague kupoteza haki zake ama siasa.