Nina uhakika hata ulichoandika mwenyewe huelewi!Eee Bwana na wewe koma kabisa kuwatisha watoto.
nani kakwambia kuwa mnyonge na kunyanyaswa na kina kagame na M7 ndio ufahari.
USA, ana majeshi katika Nchi ngapi?
Vita vya DRC vimetuathiri sana kwa ajili ya uvamizi wa huyo kagame huko kwani ndiye mwizi mkuu wa Madini.
Nani asiyefahamu kuwa ndiye aliyetungua ndege ya habyarimana walipotoka Arusha?
Acha Watanzania tukapigane maana hofu yako ni kuwa Rwanda itaingia tu katika hilo na Watutsi mtaabika
Uchumi wote wa DRC sasa unachukuliwa na Rwanda bado wanataka wapitishe mizigo Kigali toka Mombasa
Huwezi tawala Nchi yoyote bila vita hasa kwa hawa vidomidomo na katika Maandiko Vita vimo uliza kina Daudi, Solomoni mpaka kina Alexaner the great, Sasa hawa Watutsi watoke Ethiopia waje watawale amziwa Makuu na Tanzania tunyamaze huo Uchumi tutaendeleaje wakati Wakimbizi kila siku wako kwetu, Njia za reli kuvuka Ziwa Tanganyika kwenda Goma zimekufa.
Tafadhali usiwadanganye watoto kuwa wasiende kupigana huo ni UKIKE kabisa funga buti nenda mstari wa mbele pigana na huyo kagame kwanini kavamia Congo? sisi hatuendi Rwanda
Wasalimie waTutsi wenzako Koba murutongore waambie waliyoyataka sasa yanakuwa tunaenda wasaidia wenzetu DRC