mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi jeshini kwa vijana wakitanzania wenye umri usiozidi miaka 25 wenye elimu ya kidato cha nne na cha sita.
Uandikishwaji huo utahusisha pia vijana waliopokatika kambi za jeshi la kujenga taifa JKT na waliopata mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria.
Habari hiyo imetolewa na kaimu mkurugenzi wa habari na uhusiano makao makuu ya jeshi la JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda .