Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 125
Mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi wa Tanzania Luteni Generali Venance Mabeyo akihojiwa leo kwenye ufunguzi wa mazoezi ya namna ya kukabiliana na maadui kwenye maeneo ya pwani na visiwani vilivyo husisha jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) vikosi vya anga na wanamaji aliongea kuwa kwa namna jeshi la wananchi wa Tanzania lilivyo bora hata kusifiwa kimataifa kutokana na uwezo wanao uonyesha nje na ndani ya nchi ikiwa kimataifa kwa sasa kuwa nafasi ya 27.
Katika mazoezi hayo yatakayo husisha namna ya kukabiliana na waharamia katika pwani yalifunguliwa leo na rasmi yatafungwa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania, rais John Magufuli.
Katika mazoezi hayo yatakayo husisha namna ya kukabiliana na waharamia katika pwani yalifunguliwa leo na rasmi yatafungwa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania, rais John Magufuli.