Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Police wao wana Cyber kukimbizana vibaka wa simu tu.....research and Development hakuna JW wala Police.....labda TISS kidogooo wana kitengo kinafanana hichoNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
🤣Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Mbn unatutafutia maneno/sababu maisha yetu yawe magumu😂 mie siongei kitu, Mwanasheria wangu yupo nje kikazi.🤣
Ndo moja ya taasisi yenye vilaza wengi per capita.
Umeongea point nzito sana. Sijui kama wamekuelewa.Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Kwenye nchi za kifisadi kama ya kwetu kila idara ni upigaji tu. Kila siku wananunua vifaa na magari ya kichina sidhani kama wanajua hata kurusha dronesNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Imagine wale makomandoo wetu wanalipuliwa na vi walkie talkie vyao 😀.Mbn unatutafutia maneno/sababu maisha yetu yawe magumu😂 mie siongei kitu, Mwanasheria wangu yupo nje kikazi.
Imeisha hioAngalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Uwezo wao ukoje?Hicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!
Kuna jamaa wanasimamia rada pale kambi x wakiwa mtaani wanajiita ma ma hacker eti kisa wanaona.kila.kimachopita angani ukowauliza Kuna cha.ziada.hawana, mtu una muuliza what is cyber attack hajui hata unasema nini Sasa ndo Hali halisi. Mimi nimekaa naoNauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.
Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.
Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.
Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.
Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.
Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.
Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Unategemea nini iwapo recruitment pool yao ni vijana failures wa Uvccm!! Gabbage in and Gabbage out!!🤣
Ndo moja ya taasisi yenye vilaza wengi per capita.
Kwa kitengo chanIT jeshi letu liko chini labda udaktari na na engineer wapo na ni wachache wakati wanadeal na lasaba B na form foo failureAngalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Ujinga na Uoga .Hii Nchi hakuna la maana
Tupo uchi na hatujui kama tupo uchi
Kinachotusaidia watanzania wengi wao niwajinga
Hata waliosoma niwajinga sanaa
Acha zakoHicho kitengo kipo msijaribu kuishi kwa mazoea!