Ntampa kura Ben Paul kwavile ana hits nyingi zaidi, ila kwa trend anayoenda nayo Jux akitoa nyimbo nyingi zaidi itakuwa kazi kuchagua, all in all wote ni wakali sana

Masikio yanatofautiana sasa huu ubishi wenu sijui kama mtapata jibu. Au mna mpango wa kuanzisha timu. Vizuri afadhari timu ziwe nyingi, sio Simba na Yanga tu.