Jf inafurahisha Sana,
Kama asingetokea mtu na kusema usifananishe fb na jf,
basi kila mtu Angecomment hivi,
1*Rudi FB kwa watoto wenzio,
2*Unadhani huku Ni fb,
3*Hatupo fb hapa,
4*Unadhani wote wajinga kama fb,
5*Usituletee mambo ya fb,
Kwakua katokea mmoja alafu akasema usifananishe jf na fb na ndicho kilichotokea, basi kila mtu atacomment hivi,
1*Usifananishe fb na jf, fb Ni mtandao mkubwa Sana,
3*Unanichekesha kufananisha fb na jf,
4*Usifanishe fb na jf wewe,
5*Unajaribu kumfananisha mark na maxence,
6*Fb ni Moto wewe,
Na hawa, hawa kundi la pili, pia wangekuepo kwenye kundi la Kwanza,
Kama hujaelewa, hicho ulichoshika mkononi Sasa hivi fanya Kama unakitia kwenye maji.