upo mtani timu gani leo? mie nipo kwa hawa wazee wa Torino
First 15 wametushika, no lie.
First 15 wametushika, no lie.
Juve wakipata mpira wanatiririka balaa, jamaa wanataka hii ban inihusu arif.
Mimi ntakuwa nakugongea like tu ila usijipe ban pliz....
Juve wakipata mpira wanatiririka balaa, jamaa wanataka hii ban inihusu arif.
Usije ukaedit hii post yako.. hasa pale kipengele cha BAN
CC: Invisible
na mie wasiwasi wangu upo hapo tu
Lazima ashughulikiwe mkuu.. Namwamini sana Invisible