Juventus vs Real Madrid; Pirlo vs Toni Kroos

10339631_1610791802511631_2812384960438993449_n.jpg

Grand PA
 
Haters kila siku hawataki kuukubali ukweli, lakini kwenye bet leo hakuna anayeweka hela yake kwa Juve, labda awe na ukichaa wa kuzaliwa nao.

nani kichaa hadi hapo mbona unajishushia heshima yako mkuu
 
Usingizi hata hauji sijui nile nini nilale leo, saa 12 mbali kweli
 
Last edited by a moderator:
nani kichaa hadi hapo mbona unajishushia heshima yako mkuu

If you wanna talk about football karibu. Tumecheza football, our rivals were very good in defencing. Tumeaga mashindano. Congratulation Juventus. See you next season.
 
Pogba hana thamani ya £60 Mil. Anacheza kama babu Uwanjani yaani faaaza kumbe toto tu.
 
Ha ha ha ha ha umekuwa mpole kama maji ya mtungini pole sana mtani
 
Pogba hana thamani ya £60 Mil. Anacheza kama babu Uwanjani yaani faaaza kumbe toto tu.

Jamaa anajua sana na ndio staili yake japo kidoogo kawa mzito na inachangiwa na majeruhi sababu alikaa nje mda mrefu na ndio mechi yake ya pili tangu apone
 
At the end of the day, there's only one winner. Hongera Juventus...!

Najua unawaza mengi sana juu ya madrid sababu ulishajipa 80% kuwa lazma upite ila pole mtani kwa karne hii ya 20 uefa kuchukuliwa mara 2 mfululizo ni vigumu pia wakatalunya tunaamini sie ndio tutakaovunja hiyo rekodi
 
At the end of the day, there's only one winner. Hongera Juventus...!

pole mkuu.Mie ndio natoka uvunguni.Ile amsha amsha yenu dk za mwanzo zimesababisha nishindwe kutazama gemu.Nilishikwa na tension mno wife akazima tv na kuniambia kuanzia leo haniruhusu tena kucheki game za Juve live.Nicheki recorded.Hivyo nasubiri irudiwe nitazame.Game ilikuaje mkuu?tumewezaje kulitoa dubwasha hili jamani jamani jamani?!
 
umepatwa na hofu ya bure madrid timu ya kawaida kwa sasa yani hawakujituma vya kutosha inaonekana wana mgogoro wa chinichini ngoja kuanzia sasa tutackia mengi ila juve walicheza vzur sana madrid yani bora wametoka maana wangeaibika mbeleni
 
Wacha tusubiri haya maneno yako yamebeba ukweli fulani manake kama ni mboga nyanya vitunguu mafuta vilikua havina muunganiko wenye kuleta ladha......
 
Huyu mtoa post kitakachombeba ni uwezo wake haramu wa kuwa na ID nyingi humu Jf, vinginevyo asingetoa haya majigambo na hasa ukizingatia historia ya Juve kwa Real M ktk Ucl.
Asanteni sana Vibebe kizee vya Turin kwa kuwanyamazisha hawa.
 
Madrid wangeshinda tusingekaa.kwa amani
 
pole mkuu.Mie ndio natoka uvunguni.Ile amsha amsha yenu dk za mwanzo zimesababisha nishindwe kutazama gemu.Nilishikwa na tension mno wife akazima tv na kuniambia kuanzia leo haniruhusu tena kucheki game za Juve live.Nicheki recorded.Hivyo nasubiri irudiwe nitazame.Game ilikuaje mkuu?tumewezaje kulitoa dubwasha hili jamani jamani jamani?!

Ha ha ha wewe kama mimi Mkuu,nilikimbilia chumbani nikawa busy kuangalia Crime & Investigation hadi nikapitiwa usingizi naamka asubuhi naangalia kwenye Catch up high lights sijaamini kama Madrid wameng'oka (Mimi ni Barcelona ktk UCL) Dah,hizi mechi zinaleta kihoro balaa,unapata tension kama umelazimishwa vile lol!
 
Back
Top Bottom