Juventus Special Thread

Bale alidhani mbio tuu zinamtosha kuwa superstar kachuja kwa kasi sana...!
 
Hahah...hiyo ni statement tu ya kimichezo.

Madrid walikuwa wanaringia goli la ugenini, sasa nalo wenzao wamelipata

Nami nlikuwa natania tu mkuu...Madrid wana mlima wa kupanda
 
Juve wasiposogea kutoka golini wataleta madhara maana naona wanamtafutia Cristian R faulu ataipiga kwa hasira na ufundi wa ajabu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…