Juventus Special Thread

Juventus imecheza mechi tatu na haijashinda mechi hata moja zaidi ya sare moja tu. Allegri kazi anayo msimu huu. Roma ina Mourinho na wamesajili haswa, Inter Milan ina Inzaghi na wamesajili watu haswa, Lazio ina Sarri nae kajipanga haswa bila kusahau Ac Milan ya Pioli na Napoli ya Spalletti. Juventus inabidi ipambane haswa kupata top 4
 
Hawa jamaa walishapoteza dira miaka kadhaa sasa licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kifedha kuliko club zote italy. Haya ya sasa ni matunda ya uwoza wao waliounza mika kadhaa nyuma.
 
Mechi inayofuata wanakipiga na Ac Milan. Wakifungwa na hiyo watakuwa wamecheza mechi nne pasipo kushinda mechi hata moja
 
Duh! Boss upo? Umepotea kabisa mzee! Naona uliondoka na Prof. AW!

Hahaha tuliondoka na upepo wa babu ... ndugu yangu Gang Chomba sijui yupo? mkimuona pande hizi mpe hi sana tu

BLm4A-aCEAAH9Ly.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom