Kuna huyu mheshimiwa mmoja na wife wake..way back about 15 years ago walikuwa wanakaa mitaa ya Forest na walikuwa na nyumba nyingine Block T.
Huyu mheshimiwa (tumuite Peter for the purpose of this story) allikuwa ni mtu anayejielewa na mwenendo wake ulikuwa mzuri tu katika jamii.
Alikuwa anamiliki kampuni ya usafirishaji mizigo (transit) based in Dar es Salaam..pamoja na duka la spare za magari, maisha yalikuwa comparably good.
Tatizo lilikuwa kwa wife wake (muite Joan) ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi pale Muungano. Mwanamke alikuwa hashikiki licha ya kupata kila akitakacho kwa mumewe.
Jamaa alijitahidi kuvumilia lakini wife alipoanza kutembea na head teacher Peter akaona this is too much akamforce mke wake akaacha kazi.
Tatizo halikuisha kwani muda si mrefu wife akatembea na mfanyabiashara mwenzake na Peter..sasa kwa kuwa hawakuwa na mtoto Peter akaamua kumuacha lakini in the best way possible kwamba Joan atoke mikono mitupu katika ndoa (si unajua mambo ya tulichuma wote)
Kitu cha kwanza alichofanya ilikuwa ni kumshawishi mke wake wachukue mkopo kwa rafiki yake (Peter) kwa aili ya biashara na wakaweka nyumba ya Forest kama security.
Jamaa akachukua million 120 cash na akampa wife aziweke mahali salama ili baadae zipelekwe bank..Joan kazichimbia chumbani bila kujua kuwa Peter alishategesha CCTV ili aone wapi wife anaziweka.
Baada ya siku mbili jamaa akamwambia wife waende matembezi huku nyuma nyumba ikaingiliwa na zile pesa zikakombwa kwa kushindwa marejesho nyumba hiyoo kwa rafiki wa Peter. Wakahamia Block T
Kilichofuatia kampuni ya Peter ikapokea mzigo wa kusafirisha toka Dar kwenda Malawi along the way..trailer "likatekwa" mzigo ukafaulishwa na dreva (ambaye alikuwa mpwa wake Peter) akapotea (supposedly killed).
Ikabidi nyumba ya Block T iuzwe ili wenye mzigo wapewe chao..hela haikutosha likabaki deni kidogo na kampuni ikatangazwa muflis!..jamaa na wife wakapanga nyumba Isanga...
Duka la vifaa vya magari zikatengenezwa backdated documents kuonyesha kuwa kitamboo sana Peter alishaliuza kwa mjombake so in reality alikuwa employee na sio owner.
Baada ya mchakato kukamilika Peter akiwa "penniless" akafungua shauri mahakamani kutaka waachane on the basis of wife's unfaithfulness (Peter alishacollect ushahidi wa kutosha). Wife kwa kuwa alishaamini jamaa kachoka hakuwa na kipingamizi ila akataka mgao wa 50% wa mali zote.
Ukaguzi ulipokamilika results in kwamba Peter ana deni la million 27.5 na mali wanazomiliki ni fenicha za ndani na gari dogo la kutembelea ambalo Peter alisema yupo tayari kulishare na mkewe ili mradi tu wasaidiane kulipa deni la watu. Mmama kaondoka na fenicha.
Baada ya miezi mitatu Mr. Peter karudi kwenye nyumba ya Forest, Joan kakimbilia mahakamani akilia "foul play" kesi ikazungushwaa at the end ka-lose maana rafiki yake Peter alitoa ushahidi kuwa yeye ndo kaamua kumpa "hifadhi" ya muda rafiki yake kwenye his former house.
Joan akatakiwa kumlipa Mr. Peter gharama za kesi... hela hana... ikabidi share yake kwenye kigari cha kutembelea ihesabiwa inacover gharama hizo!
Joan kafaidi fenicha kwa ufuska wake Peter anadunda tu
Justified..! Hawa viumbe wakati mwingine inabidi wawe treated kutokana na actions zao. Wengine huolewa tu kuondoa nuksi lakini wana wanaume lukuju. Mpe talaka aondoke na begi lake afu akili itamjia...!
Aiseeee, sie wanawake ni shida, so ajabu hata huo ualimu alimsomesha yeye, I had the same story, inaumiza saaaana as a child playing a role of stabilizing the two of them.
Aiseeee, sie wanawake ni shida, so ajabu hata huo ualimu alimsomesha yeye, I had the same story, inaumiza saaaana as a child playing a role of stabilizing the two of them.