I recieved an sms from +255764550439 'HONGERA! Umejishindia gari aina ya TOYOTA VX kutoka Japanese Motors International Kenya,kwa maelezo zaidi piga simu namba +254724350637 ya ofisini,Asante. Hahahaha! hawapati mtu hapa.

Ooohh Thanks, are like those Nigerians with funny stories asking bank details to transfer huge sum of dollars, eti baadaye wakupe 20% mhhhh wazungu bado wanaibiwa maana wao huwa wanaamni watu kirahisi..
I recieved an sms from +255764550439 'HONGERA! Umejishindia gari aina ya TOYOTA VX kutoka Japanese Motors International Kenya,kwa maelezo zaidi piga simu namba +254724350637 ya ofisini,Asante. Hahahaha! hawapati mtu hapa.
Mkuu ulisheza nini hiyo bahati na sibu?
Kama umeshinda kwa nini wao wasikupigie?wana toa VX wanashindwa kukupigia?
Kuna dogo mmoja MBY walimliza laki saba hivi hivi hawa hawa jamaa.