Km 67 ni za kweli au umereset speed meter ili utupige mbona gari ya kawaida tuu...kuwa realistic fanya biashara usikomoe wadau kwa shida zako
Ni muhimu mleta uzi afafanue iwapo kweli ni km 67 au alitaka kuandika km 67,000.Mkuu mbona bei ya kawaida pia ..kama vipi unaaviza mwenyewe otherwise sioni issue za kuanza kusema kareset speedometer...ikiwa na 200km si utasema imetembea sana and the like
nahis anamaanisha 67,000kmKwa hiyo 67km nadhani huko japan ilikotengenezwa haikuwahi kutembea hata kidogo.
Ni muhimu mleta uzi afafanue iwapo kweli ni km 67 au alitaka kuandika km 67,000.
Samahani wana jf, nilimaanisha mileage ni km 67,000. Sina lengo la kumkomoa mtu. It's a genuine business for a serious buyer.
Wala usipate shida bei na gari viko vizuri utapata mteja very soon
We hauhitaju ki baby walker hcho?