alafu mwaka kesho BASATA wampe Ally K.u.m[]
Diamond anazidi kuweka rekodi zake na kuzidi kuishangaza dunia kwa ukali alionao
Wakati huu ameshinda tuzo kubwa duniani za MTV EMA kipengele cha Best african act
Hakuna Mtanzania aliyewahi kushinda hiyo tuzo, diamond ndio amefungua ukurasa huo kwa watanzania, hakika huyu mtu ni ICON
Matokeo ya regional categories kama hii 'Best African Act' huwa wanatangaza mshindi mapema ili washindi wake wapambanishwe kwenye category ya BEST WORLDWIDE ACT na Diamond atashindana na msindi wa bara la India, na upigwaji kura umefunguliwa tayari tumeshaanza kummwagia kura kama kawaida yetu
UTOAJI TUZO ITAKUWA NI TAR 25, MWEZI HUU ITALIA
Nipe link ya kupigia kura nikafanye nyangu.... Dangote ndio mfalme wa muzik...