Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

attachment.php
 
Attachments

  • MTVEMA_Diamond.jpg
    MTVEMA_Diamond.jpg
    45.2 KB · Views: 2,617
Diamond anazidi kuweka rekodi zake na kuzidi kuishangaza dunia kwa ukali alionao

Wakati huu ameshinda tuzo kubwa duniani za MTV EMA kipengele cha Best african act

Hakuna Mtanzania aliyewahi kushinda hiyo tuzo, diamond ndio amefungua ukurasa huo kwa watanzania, hakika huyu mtu ni ICON

Matokeo ya regional categories kama hii 'Best African Act' huwa wanatangaza mshindi mapema ili washindi wake wapambanishwe kwenye category ya BEST WORLDWIDE ACT na Diamond atashindana na msindi wa India "PRIYANCA CHOPRA" , na upigwaji kura umefunguliwa tayari tumeshaanza kummwagia kura kama kawaida yetu

UTOAJI TUZO ITAKUWA NI TAR 25, MWEZI HUU ITALIA na mshindi atatangazwa siku hiyo

Kupiga kura ingia link hii ⬇ piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura ⬇

http://base.mtvema.com/vote
 
Diamond anazidi kuweka rekodi zake na kuzidi kuishangaza dunia kwa ukali alionao

Wakati huu ameshinda tuzo kubwa duniani za MTV EMA kipengele cha Best african act

Hakuna Mtanzania aliyewahi kushinda hiyo tuzo, diamond ndio amefungua ukurasa huo kwa watanzania, hakika huyu mtu ni ICON

Matokeo ya regional categories kama hii 'Best African Act' huwa wanatangaza mshindi mapema ili washindi wake wapambanishwe kwenye category ya BEST WORLDWIDE ACT na Diamond atashindana na msindi wa bara la India, na upigwaji kura umefunguliwa tayari tumeshaanza kummwagia kura kama kawaida yetu

UTOAJI TUZO ITAKUWA NI TAR 25, MWEZI HUU ITALIA

Its about time Ali Kiba should learn a lesson or two from this boy!
 
Ngoja nikampigie mikura ili tarehe 25 iwe shangwe,ila huyu mtt diamond ni noma HV kiba bado tu anajiita mfalme?
 
Back
Top Bottom