Just imagine CCM wana-organize maandamano ya wananchi

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Fikiria CCM wana-organize maandamano na kufanya mkutano kulaani maandamano na mikutano ya Chadema Dar au Mwanza au Mbeya au Arusha halafu viongozi Wasira, Yusuf Makamba, Tambwe Hiza na Sofia Simba wanakuwa ndiyo wahusika wakuu kila mmoja anapewa dakika 15 za kuhutubia. Hali itakuwaje hapo?
 
hahahahahahaha labda walete watoto zao na waume/wake zao kuja kwenye huo mkutano,,,, unless otherwise no one will come to the meeting,,,
 
Back
Top Bottom