senks kwa kutupatia hii taarifa.Huyu binti nlimpenda sana, I have never been this honest katika mahusiano yoyote nliyokua nayo before. Aliniaga anakwenda chuo Tabora. Kama wiki mbili zilizopita,nikampa baraka zangu zote nikamwambia Mama nenda lakini jua kwamba nakupenda sana naomba ulinde penzi letu, binti akaitikia, na mpaka leo mchana ninaongea nae kwenye simu najua yupo Tabora. Kuna rafiki yangu jioni hii kanipigia simu akaniuliza demu wangu yupo wapi? Nikamjibu Tabora, akashangaa akanambia dem wako namuona Mwenge dar, na kufanya asiwe na pakutokea msela wangu akaenda kumsalimia. Nimeamua kuachana nae for good, mana hii sio mara ya kwanza kunidanganya mara ya kwanza nlikosa ushahidi hivo nlimsamee. This tyme nimeamua nimuache aende zake. Naamini nime make the right decision wana jamii.
kamanda, huyu jamaa kaleta taarifa tu kwamba kamtema mmanyema wake. yaani dah! huyu ndio anaelewa mipaka ya haya mambo. kuna mwengine kesi kama hii bado angelikuja kutaka ushauri hapa jamvini. yaani jamaa nimemuhusudisha kweli hii style ya post yake.Kama ni kukudhalilisha, basi huyu kazidi.
Lakini cha msingi angalau ungepata nafasi ukajua ni sbb gani anajiamini kukudanganya hivyo, huenda ikakusaidia kwa siku za usoni..
Usikute uko uko loose mahala, na anapatumia hapohapo!
Mkuu, matumizi unatoa?...lol!
Kama ni kukudhalilisha, basi huyu kazidi.
Lakini cha msingi angalau ungepata nafasi ukajua ni sbb gani anajiamini kukudanganya hivyo, huenda ikakusaidia kwa siku za usoni..
Usikute uko uko loose mahala, na anapatumia hapohapo!
Mkuu, matumizi unatoa?...lol!
hamna kujitetea hapo, utasemaje uko tabora halaf unaonekana mwenge bana! think! mkuu think!kabla ya kumhukumu muulize, mpe nafasi ajitetee! That I hope is a basis of human right and freedom. The issue of natural justice! Hata hivyo pole sana
Hapa naona tayari ushatoa maamuzi na unatupa tu taarifa. Haya kila la heri.
Kwa ushauri wangu usirudi nyuma. Ila take care na huyo rafiki yako kweli kamuona???
Usije shangaa ukakuta ndo kakupindua?? Ushauri tu lakini
kabla ya kumhukumu muulize, mpe nafasi ajitetee! That I hope is a basis of human right and freedom. The issue of natural justice! Hata hivyo pole sana
nazani kama wanaJF wangekuwa na msimamo kama huyu mleta sredi, sredi za kizembe nyingi zingepungua hapa. kuna ishu hazihitaji ushauri bana! ukitafta ushauri unajizalilisha tu.Hakuna cha kuuliza hapo